Wednesday, June 29, 2011

TAARIFA YA MSIBA.

BLOG YA JAMII INAUNGANA NA NDUGU ALLY WA FARSTA CETRUM KUWATANGAZIA HABARI YA MSIBA WA MAMA YAKE MZAZI ULIOTOKEA BONGO NA MAZISHI YATAFANYIKA KESHO SA TANO ASUBUHI.

KWA SISI WABONGO WA HAPA SWEDEN TUTAUNGANA KWA PAMOJA KUFANYA KISOMO SIKU YA JUMAPILI SAA KUMI YA JIONINYUMBANI KWAKE MFIWA.
ADRESS NI MOLKOMSBACKEN  28  123  33 FARSTA CETRUM.KUFIKA KWAKO NDIO KUFANIKISHA KISOMO CHA MAMA YETU KWANI LEO YEYE KESHO SISI.TAFADHALI MJULISHE NA MWENZIO.
KWA WALE AMBAO HAWAPAJUI WATAKAPOFIKA FARSTA CETRUM UNAWEZA KUMPIGIA MWENEU KWA NAMBA YA LYCA. 0734792089

Sunday, June 26, 2011

CHOMA NYAMA NDANI YA UBALOZI WA TANZANIA ILIVYOFANA.


 Dj akiweka mitambo sawa.
 Watu alianza kusogelea meza ya chakula.
 Mapochopocho


 Nyama tulichukua hapa


 Kiongozi na wageni
 Osamaaaaaaaaaaaaaaa.

 Hahahahaha nyama zilikua laini hata watoto nao walimeza bila kutafuna.



 Dada Linda nae alikuwepo



 Watu walitambuana pia,naona dada Linda akiwa na kiongozi Zam

 Safi sana kiongozi na wafuasi wake anaunganisha upendo.

 Mduara nao ulikuwepo alimradi burudani.

 Shukrani kwako Cley kwa kuwakilisha majirani zetu wa Kenya.






 Messi Dona na Mgiliki


 Shukrani kwako Maneger Nyupi kwa kujumuika nasi mtu muhimu sana huyu.


 Majembeeeeeeeeeee waliwakilisha


 Jembeeeeeeeeeeeeeeeee

 Jamaa alitka apigiwe nyimbo yake naona hapo akiongea na Dj
 Huu muungano ni mzuri hapa safi sana.


 Mkono mmoja weka juuu

 Wakongwe wa jiji la Stockholm

 Mpaka chini mpaka chini

 Dj  akisakata lumba na kiongozi juma magambo nani umemuachia mitambo Dj
 Burudani iliendelea kama kawaida.




Shukrani kubwa zikufikie capten JJ kwa kutufikishia matukio katika blog yetu ya jamii.