Sunday, April 8, 2012

BARNABA AMPA MWANAE JINA LA STEVEN KATIKA KUMUENZI KANUMBA

Msanii wa bongo fleva Barnaba mpenzi wake amejifungua mtoto wa kiume ikiwa ni sambamba na siku aliofariki gwiji la filamu Tanzania Steven Kanumba.Kwa huzuni mkubwa uliompata Barnaba kwa kumpoteza mtu muhimu katika tansia ya sanaa ameamua mwanae huyo wa kiume ampe jina la gwiji huyo Steven ili kumuenzi mtu huyo muhimu katika ardhi ya Tanzania na nje ya Tanzania.Mungu ailaze pema roho ya Kanumba the great amen.