Saturday, April 21, 2012

DAH HII SOUTH AFRICAN RAND KUIPATA KWAKE TABU SANA

Hapa naona kuna rand 200,100,50 na 10 zote za karatasi na pembeni manati yakizungu sijui wazee wa kazi wametoka kazini tayari!dah hii nchi bwana shule sana kama haujafaidika unapotea.