Saturday, April 7, 2012

LULU AKAMATWA NA POLISI AKIWA NA MAJERAHA

Msanii chipukizi wa Filamu bongo Lulu Michael yupo kituo cha polisi cha Osterbay akiwa katika hali mbaya kwani amepatwa na maumivu na majeraha mengi husoni yaliotokana na kupigwa na Kanumba,Lulu amepasuka sehemu ya huso wake kutokana na kipigo.Chanzo cha ugomvi inasemekana na simu alizokua anapigiwa mara kwa mara Lulu na marehemu Kanumba kushikwa na wivu juu ya hilo chanzo cha habari kinatuambia.Hivi sasa Lulu anaisaidia polisi juu ya kifo cha mcheza filamu maarufu bongo Steven Kanumba the Great,nitakachokipata wadau nitawatupia ili kujua undania halisi wa kifo cha Kanumba na hatma ya Lulu juu ya tukio hili.