Sunday, April 8, 2012

MAMA YAKE KANUMBA ROHO YAKE NYEUPE MWANAE AZIKWE DAR

Wakati ratiba ya mazishi ya nguli wa filamu Steven Kanumba yatafanyika siku ya jumanne ila kamati ilikua ikimsubili mama mzazi wa Kanumba kuamua wapi azikwe.Mama yake kanumba katika maojiano akiwa na huzuni kubwa alisema yeye yupo tayari mwanae azikwe dar es salaam.